Pambazuka Jumapili

pambazuka-radiocitizen

Umesikia kuhusu chakula cha kiroho, lakini umewahi kusikia kuhusu kipindi spesheli kinachoshughulikia mlo wako wa kiroho? Huo mlo ndio kipindi cha Pambazuka hukupakulia kila siku.